Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Jipangeni mwakani, mkiendelea kuokoteza makocha mtaishia kucheza na Kino boys hapo Azam complex 🤗Shirikisho nayo ni mashindano ya kujivunia au ni uchafu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jipangeni mwakani, mkiendelea kuokoteza makocha mtaishia kucheza na Kino boys hapo Azam complex 🤗Shirikisho nayo ni mashindano ya kujivunia au ni uchafu tu
😅😂😅 Sawa mtaniJipangeni mwakani, mkiendelea kuokoteza makocha mtaishia kucheza na Kino boys hapo Azam complex 🤗
Ngoja tujipange kufuzu nusu fainali sasa😅😂😅 Sawa mtani
Tuwakirishe vyema huko shirikisho
Nani anajali Sasa huo upuuzi wa shirikishoNgoja tujipange kufuzu nusu fainali sasa
Ari tunayo
Nia tunayo
Uwezo tunao
Na Mbinu tunazo💪
Mwakani mtaenda kucheza shirikisho, nyie subirini tuchukue Ligi KuuNani anajali Sasa huo upuuzi wa shirikisho
Lini Bingwa anacheza shirikishoMwakani mtaenda kucheza shirikisho, nyie subirini tuchukue Ligi Kuu
Angalia msije kumfukuza Kocha Mwaka huuLini Bingwa anacheza shirikisho
Yanga bingwa
Ni njema kabisaSafi kabisa namshukuru Mungu, afya yako vip?