The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 21,281
- 49,313
Siwezi kukimbia.. Simba wanatupatia burudani.Umebaki mwenyewe mdau.
Wenzio wote wameufyata
Siwezi kukimbia.. Simba wanatupatia burudani.Umebaki mwenyewe mdau.
Wenzio wote wameufyata
Hii ndio TASTE kwa DOUMBIA kama ilikuwa ni choice ya CHAMPIIONS LEAGUE
Nani kafungua
Uko sahihi lakini pamoja na kwamba sifuatilii sana mpira, ila umeniweka kiwango cha chini mno.Ukifatilia mpira utaelewa, anza kidogo kidogo tu. Ulichoongea hakina tofauti na kuiambia Simba au Yanga akajifunze kwa Singida big stars kwavile tu kaifunga timu ya Al-Ghazal goli 7 wakiwa kwao.