FT | Simba SC 6-1 Mighty Wanderers (Agg: 7-1) | CCL - Simba Kafuzu Round 1 kwa kishindo | Uhuru Stadium | 13.9.2026

FT | Simba SC 6-1 Mighty Wanderers (Agg: 7-1) | CCL - Simba Kafuzu Round 1 kwa kishindo | Uhuru Stadium | 13.9.2026

Mkuu mpira huwa haufanyiwi ulinganisho kwa kutumia wapinzani wawili tofauti na mechi mbili tofauti.
Hebu waelezee majaji mambo ya kuzingatia kwenye mpira mkuu. Mie nakiri sio mchambuzi wala mfuatiliaji wa mpira zaidi nikikuta watu wana angalia, namie nnajumuika ila ni mwananchi.
 
74'
Mpira bado upo kwenye umiliki wa Simba.
Wanapigiana pasi nzuri hapa
What a good football.
This is Simbaaaa
4-1
Aggregate
5-1
 
Back
Top Bottom