FT | Simba SC 6-1 Mighty Wanderers (Agg: 7-1) | CCL - Simba Kafuzu Round 1 kwa kishindo | Uhuru Stadium | 13.9.2026

FT | Simba SC 6-1 Mighty Wanderers (Agg: 7-1) | CCL - Simba Kafuzu Round 1 kwa kishindo | Uhuru Stadium | 13.9.2026

Nimegundua uto , ili kushinda ligi yanatumia mbinu za sisiem ila mpira hayana
Screenshot_2026-09-13_114601.jpg
 
Simba wana timu.
Yanga bado sijaona kiwango cha namna hii.

Nakama tusipobadilika, Mnyama atakuja kutuvua nguo tukikutana nae tena.
 
52'
Might W wanapata freekick nje kidogo ya 18. Ni nje kidogo tu ya 18.

Wanapiga inagonga besela wanakosa goli
 
Back
Top Bottom