nakwede97
JF-Expert Member
- Aug 9, 2021
- 3,017
- 9,986
Bia itanidhalilisha mie 🤣Tunywe na bia dada yangu😁
Bia itanidhalilisha mie 🤣Tunywe na bia dada yangu😁
😆😆😆 unapotezea tu, kila mtu ni nyumbu kwa wakati wake😅Bia itanidhalilisha mie 🤣
Leo pombe zinaniua bwashee 😁Bado Tatu mwanetu
Sijawafatilia mkuu.Ni kwamba leo hawa jamaa wameingia kwenye mfumo.
Singida wako vipi kule Chamazi?
Kabisa bwashee , ngoja kwanza nichome ubavu wa mbuzi😁Kuwa makini tu aisee...
Matesha anakutegemea