uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 19,101 Reaction score 31,995 Sep 13, 2026 Thread starter #101 Chuma cha Tatu
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,734 Reaction score 140,476 Sep 13, 2026 #103 Chama ampishe Doumbia naye ajaribu
Huja JF-Expert Member Joined Aug 7, 2021 Posts 1,416 Reaction score 2,218 Sep 13, 2026 #104 Itawafunga SOMALI, DJIBUT 5 , 6 ... Lakini simba ndiye anaweza kuwafunga watu wengine 6 ... Leo anakufa mtu 6
Itawafunga SOMALI, DJIBUT 5 , 6 ... Lakini simba ndiye anaweza kuwafunga watu wengine 6 ... Leo anakufa mtu 6
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,734 Reaction score 140,476 Sep 13, 2026 #106 Kwa nini Libasse anacheza Bongo?
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Sep 13, 2026 #107 kishumbaz said: Haya makosa ya kitoto wanayofanya wamalawi jana hatukuona Gaborone wakifanya ujinga kama huu😄🙌 Click to expand... Pole Siyo amri yao. Uwezo wa Simba ndiyo unopelekea wafanye makosa nak kuadhibiwa
kishumbaz said: Haya makosa ya kitoto wanayofanya wamalawi jana hatukuona Gaborone wakifanya ujinga kama huu😄🙌 Click to expand... Pole Siyo amri yao. Uwezo wa Simba ndiyo unopelekea wafanye makosa nak kuadhibiwa
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 37,696 Reaction score 109,218 Sep 13, 2026 #108 Chama anazeeka na utamu wake.. ni genius saana jamaa.
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 19,101 Reaction score 31,995 Sep 13, 2026 Thread starter #109 Might wanders wanafanya mabadiliko ya nafasi tatu kwa wakati mmoja. Dakika ni ya 38.
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 19,101 Reaction score 31,995 Sep 13, 2026 Thread starter #110 moudgulf said: Pole Siyo amri yao. Uwezo wa Simba ndiyo unopelekea wafanye makosa nak kuadhibiwa Click to expand... Sahihi kabisa
moudgulf said: Pole Siyo amri yao. Uwezo wa Simba ndiyo unopelekea wafanye makosa nak kuadhibiwa Click to expand... Sahihi kabisa
Blue Bahari JF-Expert Member Joined Aug 21, 2016 Posts 2,278 Reaction score 3,035 Sep 13, 2026 #111 Sisi watoto wa Nyasa land tunasema: "Tutarudi tukiwa imara zaidi, Subiri kipindi cha pili mshuhudie come back ya kufa mtu".
Sisi watoto wa Nyasa land tunasema: "Tutarudi tukiwa imara zaidi, Subiri kipindi cha pili mshuhudie come back ya kufa mtu".
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 19,101 Reaction score 31,995 Sep 13, 2026 Thread starter #112 makaveli10 said: Chama anazeeka na utamu wake.. ni genius saana jamaa. Click to expand... Leo ataondoka na mpira wake
makaveli10 said: Chama anazeeka na utamu wake.. ni genius saana jamaa. Click to expand... Leo ataondoka na mpira wake
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Sep 13, 2026 #113 Huja said: Itawafunga SOMALI, DJIBUT 5 , 6 ... Lakini simba ndiye anaweza kuwafunga watu wengine 6 ... Leo anakufa mtu 6 Click to expand... Haswaaa. Wale jamaa utasikia wameshinda goli 5 ukiuliza timu utasikia imetoka Sudani kusini au Somalia
Huja said: Itawafunga SOMALI, DJIBUT 5 , 6 ... Lakini simba ndiye anaweza kuwafunga watu wengine 6 ... Leo anakufa mtu 6 Click to expand... Haswaaa. Wale jamaa utasikia wameshinda goli 5 ukiuliza timu utasikia imetoka Sudani kusini au Somalia
mwehu ndama JF-Expert Member Joined Nov 12, 2019 Posts 2,472 Reaction score 9,542 Sep 13, 2026 #114 Makolo WANACHEZA na wagonjwa wa akili
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 19,101 Reaction score 31,995 Sep 13, 2026 Thread starter #115 Blue Bahari said: Sisi watoto wa Nyasa land tunasema: "Tutarudi tukiwa imara zaidi, Subiri kipindi cha pili mshuhudie come back ya kufa mtu". Click to expand... Unaota mkuu
Blue Bahari said: Sisi watoto wa Nyasa land tunasema: "Tutarudi tukiwa imara zaidi, Subiri kipindi cha pili mshuhudie come back ya kufa mtu". Click to expand... Unaota mkuu
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 19,101 Reaction score 31,995 Sep 13, 2026 Thread starter #116 Huja said: Itawafunga SOMALI, DJIBUT 5 , 6 ... Lakini simba ndiye anaweza kuwafunga watu wengine 6 ... Leo anakufa mtu 6 Click to expand... Hakuna namna kabisa. Wameingia kwenye mfumo. Wamechanganyikiwa kabisa
Huja said: Itawafunga SOMALI, DJIBUT 5 , 6 ... Lakini simba ndiye anaweza kuwafunga watu wengine 6 ... Leo anakufa mtu 6 Click to expand... Hakuna namna kabisa. Wameingia kwenye mfumo. Wamechanganyikiwa kabisa
Kinyungu Platinum Member Joined Apr 6, 2008 Posts 22,912 Reaction score 46,240 Sep 13, 2026 #117 Mnyama leo atawaonesha wale wapiga ngumi namna ya kusakata kabumbu la kimataifa
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 19,101 Reaction score 31,995 Sep 13, 2026 Thread starter #118 min -me said: Simba nguvu moja💪 Click to expand... Wanakufa watu leo hapa
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 19,101 Reaction score 31,995 Sep 13, 2026 Thread starter #119 Kinyungu said: Mnyama leo atawaonesha wale wapiga ngumi namna ya kusakata kabumbu la kimataifa Click to expand... Wanachukua notes
Kinyungu said: Mnyama leo atawaonesha wale wapiga ngumi namna ya kusakata kabumbu la kimataifa Click to expand... Wanachukua notes
Huja JF-Expert Member Joined Aug 7, 2021 Posts 1,416 Reaction score 2,218 Sep 13, 2026 #120 Siku MAEMA akiwa Ktk FORM... Team inatembea