Tunywe na bia dada yangu😁Jumapili yangu inaenda kuisha vuzur mno simba wananipa raha
Mpira pesa, mpira ni uwekezaji. Gaborone wanajitahidi kuchagua makocha walio na mbinu, kocha wao awali alifanya kazi kubwa sana dhidi ya Simba mpaka Simba wakamchukua, na wakafanya replacement ya kocha mwingine ambaye ameisumbua Yanga piaHaya makosa ya kitoto wanayofanya wamalawi jana hatukuona Gaborone wakifanya ujinga kama huu😄🙌
Yes, ila ndo soka, bado management Simba ina kazi ya kufanya. Dirisha dogo pale katikati na mbele ni pa kupaangalia.Unnecessary
Akiwa tijecti tutampelek uto wakafanye mental mastabesheni bwasheeKwa nini Libasse anacheza Bongo?
Unalikimbia sana ila leo lazima mji uwe mkwekundu tuSaa 12:30