vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 3,128
- 5,862
Kocha wa Simba kakaa muda gani kuifundisha timu yake vs kocha mpya wa Yanga? Unasema Yanga kaifunga Simba basi tu je kwa kutumia kielezo kipi ikiwa Simba walipata short on target moja tu tena dakika za mwishoni mwa mchezo? Vipi kuhusu possession? Embu nipe kigezo cha kusema hiyo kauli yako unatumia ulinganisho upi?Uko sahihi lakini pamoja na kwamba sifuatilii sana mpira, ila umeniweka kiwango cha chini mno.
Simba hata kama wangefungwa leo, bado ningesema wameonyesha kiwango bora, nimefuatilia michezo kadhaa, ikiwepo ile Simba na Yanga, jamaa tuliwafunga basi tu, na mwanzoni na mwishoni walitubana sana.
Ni kweli Yanga tumeleta wachezaji wenye majina makubwa ila niwe mkweli, bado siipati ile ladha au burudani inayoendana na uwekezaji ule.
Siangalii magoli pekee kiongozi.
Kuhusu swala la kiwango huwezi kusema kuwa timu imecheza kiwango bora pasipo kuangalia strength and weakness ya mpinzani wako. Unaweza kuniaambia hawa wapinzania wa Simba wameonesha strength ipi dhidi ya Simba?