FT | Simba SC 6-1 Mighty Wanderers (Agg: 7-1) | CCL - Simba Kafuzu Round 1 kwa kishindo | Uhuru Stadium | 13.9.2026

FT | Simba SC 6-1 Mighty Wanderers (Agg: 7-1) | CCL - Simba Kafuzu Round 1 kwa kishindo | Uhuru Stadium | 13.9.2026

Inabidi uwe na moyo mgumu mno, hawezi kujiweka kwenye nafasi za kufunga kabisa, anazurula tu uwanjani, wanaosema jamaa ni mtumishi hewa naanza kuwaunga mkono.
"Wapime uwezo wake wa kuona"...
(Kijana wangu wa miaka 7)
 
Mpira na SWAT sijui SWOT wapi na wapi.
Ukweli lazima usemwa, na usindikizwe na ushahidi. Kwa yanga kumfunga vigoli viwili timu kimeo kama Gaberone united- tena kagoli ka bahati -inadhihirisha yanga ni wachovu pro maxxxx
Timu dhaifu unaipima kwa kipimo gani kuiona ni dhaifu?
 
Unaelewa suala zima la burudani lakini?
Wewe unaongea kitaalam sana na huko nawaachia wachambuzi wenzio.

Timu ya jana tumecheza nayo ipo nafasi ya ngapi kwenye viwango vya soka? Na hua wanatumia vigezo gani?

Yanga imebadili makocha kadhaa hapa kati kati kwenye teansition akiwepo msomali, unaweza kuielezea vipi hiyo athari kwenye perfomance ya Yanga?

Anyway, nikiwa kama layman, tukiweka pembeni magoli, Simba wamecheza mpira.
Caf ranking sio fact ya kuipima current form ya timu, kwasababu inachukua data za misimu ya nyuma. Hii Gaborone ilicheza na Simba msimu uliopita je unakumbuka ni nini kilitokea? Simba unajua wakati wanacheza na Gaborone walikuwa wa 6 kwenye ranking? Yanga kuna timu ilicheza nayo ikaibamiza goli 5 wakiwa kwao je iliifanya Yanga kuwa bora? Kufunga goli nyingi inategemea unacheza na timu iliyo na kocha wa aina gani, mbinu ya aina gani na wachezaji wa aina gani.

Kwenye mpira hakuna kitu kigumu kama kocha ku maintain ama kuboresha alichokifanya mtangulizi wako. Ferguson alikaa miaka kibao ndani ya Man U ila alivyo staff, aliyekuja alishindwa kuendeleza kazi kubwa iliyofanywa na Sir. Alex Ferguson. Mpira sio mchezo rahisi kama unavyoongea mdomoni
 
Caf ranking sio fact ya kuipima current form ya timu, kwasababu inachukua data za misimu ya nyuma. Hii Gaborone ilicheza na Simba mechi msimu uliopita je unakumbuka ni nini kilitokea? Simba unajua wakati wanacheza na Gaborone walikuwa wa 6 kwenye ranking? Yanga kuna timu ilicheza nayo ikaibamiza goli 5 wakiwa kwao je iliifanya Yanga kuwa bora? Kufunga goli nyingi inategemea unacheza na timu iliyo na kocha wa aina gani, mbinu ya aina gani na wachezaji wa aina gani.

Kwenye mpira hakuna kitu kigumu kama kocha ku maintain ama kuboresha alichokifanya mtangulizi wako. Ferguson alikaa miaka kibao ndani ya Man U ila alivyo staff, aliyekuja alishindwa kuendeleza kazi kubwa iliyofanywa na Sir. Alex Ferguson. Mpira sio mchezo rahisi kama unavyoongea mdomoni

Najua ni mpira mgumu na sio rahisi, ndio maana hakuna tumu hua haifungwi wala hakuna kicha hapotezi mchezo, hata awe bora vipi.

Wewe ndio ulianza kuleta mambo ya uchambuzi na mambo ya ufundi.

Anyway, tuweke mbali mambo ya CAF ranking, naomba tathmini yako kwa hizi timu za Simba na Yanga kwa kurejea NBC league na CAF zinazoendelea.
 
Wote wanashiriki mashindano, kwenye ligi lazima wenyewe kwa wenyewe watakutana, na pia atakayecheza na Simba lazima pia Yanga itacheza nao atakayepiga hesabu zake ipasavyo ndiye atakaye faidika na mbio za marathon.

Klabu bingwa wote wamefuzu kwenda hatua inayofuata, kwasasa ilipofikia timu ya Simba na Yanga wameshavuka katika kuwazia kucheza hatua ya makundi hivyo kuna asilimia 65 za zote kuingia hatua ya makundi. Tathmini ya hatua inayofuata siwezi kufanya kwasababu sijaziona timu zingine viwango na ubora wao, na pia sijui itapangwa na timu zipi kwenye hatua ya makundi. Hivyo tuupe muda ndio utatufanya tujue muelekeo wa hizi timu
 
Back
Top Bottom