FT | Simba SC 6-1 Mighty Wanderers (Agg: 7-1) | CCL - Simba Kafuzu Round 1 kwa kishindo | Uhuru Stadium | 13.9.2026

FT | Simba SC 6-1 Mighty Wanderers (Agg: 7-1) | CCL - Simba Kafuzu Round 1 kwa kishindo | Uhuru Stadium | 13.9.2026

Unaelewa suala zima la burudani lakini?
Wewe unaongea kitaalam sana na huko nawaachia wachambuzi wenzio.

Timu ya jana tumecheza nayo ipo nafasi ya ngapi kwenye viwango vya soka? Na hua wanatumia vigezo gani?

Yanga imebadili makocha kadhaa hapa kati kati kwenye teansition akiwepo msomali, unaweza kuielezea vipi hiyo athari kwenye perfomance ya Yanga?

Anyway, nikiwa kama layman, tukiweka pembeni magoli, Simba wamecheza mpira.
🫡🫡🫡
 
Mpira na SWAT sijui SWOT wapi na wapi.
Ukweli lazima usemwa, na usindikizwe na ushahidi. Kwa yanga kumfunga kagoli kamoja timu kimeo kama Gaberone united- tena kagoli ka bahati -inadhihirisha yanga ni wachovu pro maxxxx
Kumbuka walianza kwa kuwapiga ngumi kwanza wakawatoa mchezoni...
 
Ulikimbilia wapi?
🤣🤣🤣

Umeona jinsi ya kushinda bila kupiga watu?
Naona mmejiokotea vibonde mnajipigia tu.

Hongereni kwa ushindi angalau Mangungu atapumua.
 
Dumbia ni either hajui kabisa mpira au hii level ya kuchezea timu kubwa bado hajaifikia.
Hajui kabisa kuji~position alafu hata kaba yake ni kiaina sana
 
Dumbia ni either hajui kabisa mpira au hii level ya kuchezea timu kubwa bado hajaifikia.
Hajui kabisa kuji~position alafu hata kaba yake ni kiaina sana
Kwenye maisha bahati zipo tu.

Doumbia anacheza timu kama Simba kama sio bahati ni nini?
 
Back
Top Bottom