FT | Simba SC 6-1 Mighty Wanderers (Agg: 7-1) | CCL - Simba Kafuzu Round 1 kwa kishindo | Uhuru Stadium | 13.9.2026

🫡🫡🫡
 
Mpira na SWAT sijui SWOT wapi na wapi.
Ukweli lazima usemwa, na usindikizwe na ushahidi. Kwa yanga kumfunga kagoli kamoja timu kimeo kama Gaberone united- tena kagoli ka bahati -inadhihirisha yanga ni wachovu pro maxxxx
Kumbuka walianza kwa kuwapiga ngumi kwanza wakawatoa mchezoni...
 
Ulikimbilia wapi?
🤣🤣🤣

Umeona jinsi ya kushinda bila kupiga watu?
Naona mmejiokotea vibonde mnajipigia tu.

Hongereni kwa ushindi angalau Mangungu atapumua.
 
Dumbia ni either hajui kabisa mpira au hii level ya kuchezea timu kubwa bado hajaifikia.
Hajui kabisa kuji~position alafu hata kaba yake ni kiaina sana
 
Dumbia ni either hajui kabisa mpira au hii level ya kuchezea timu kubwa bado hajaifikia.
Hajui kabisa kuji~position alafu hata kaba yake ni kiaina sana
Kwenye maisha bahati zipo tu.

Doumbia anacheza timu kama Simba kama sio bahati ni nini?
 
Kijana wangu hapa ananiambia au Doumbia ana shida ya macho?
Mbona kama vile haoni mpira? 🤣🤣🤣
Goli la Nne la Libase ni assist ya Doumbia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…