FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

"Huyu kocha anazingua sana,Kibu ilikuwa Sub ya mapema sana,kumuacha Kibu dkk 90 nikutukosea heshima kabisa,inauma sana" Shabiki wa tawi la mpira pesa baada ya dk 90
 
Ila huyu kocha wa simba anatuonaje sisi kwamba hatujui mpira au! Sasa game kubwa kama hii Kibu wa nini? Halafu anamchezesha ntibazonkiza katikati No 10 na chama anacheza kama winga sijui huu mfumo kautoa wapi, siku zote chama anakuwa na madhara akitokea katikati na sio pembeni anakomchezesha.
Kibu aheshimiwe mkuu
 
Amna,huyo tunamjua hii game horoya watakaa nyuma sana so kibu sio chaguo sahihi
Yaah ila hawa jamaa ni wazuri mipira ya juu,kwenyemipira ya kutengwa inabidi muwe vizuri sana,sababu jamaa ni warefu sana.
 
Amna,huyo tunamjua hii game horoya watakaa nyuma sana so kibu sio chaguo sahihi
Yap, wanaweza taka kutumia counter tatizo ni kwamba wanautaka sana huu ushindi na wao, watalazimika kufunguka.
 
Back
Top Bottom