Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Mkuu hii mechi ilichezwa janaNani kakwambia tunataka hizo post..match wakati hata pre haijaanza..
Ndo wanga na ulozi wenyewe huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii mechi ilichezwa janaNani kakwambia tunataka hizo post..match wakati hata pre haijaanza..
Ndo wanga na ulozi wenyewe huu
[emoji1306][emoji1306]Ngoja tuone
Dah huyu Mwana huwa simuelewi lakini ni mnafiki laivu bila chenga, anavyoipamba Simba mpaka na Hashtag juu 😂 😂 😂 😂Humkosi yanii na yuko sambamba mpk mwisho...hahahaha
Ila leo mnavibe sana,nilipokaa hapa kiwanjani wanasimba wanamzuka sanaHuko nakushinda mchana kweupeee
Kumbeee upoo uwanjaji ....safi sanaIla leo mnavibe sana,nilipokaa hapa kiwanjani wanasimba wanamzuka sana
NB:Ukinishimda nakupeleka ICC,The Hague 😀
Muheshimu sana kicheche, kwa hizo akili hawezi kumfikia kicheche hata kwa mbali.Yani ww kwny uzi wa Simba uko active mnoo wa kwenu sasa mpk mfunge moja ndo unatokeza kama kicheche [emoji38] [emoji38]
Mi huwa naangalia mechi zote bila kujali nani anacheza,mpira ni mtoko kabisaKumbeee upoo uwanjaji ....safi sana
SIMBA will always be SIMBA00' Piiiiiiiiii naaam mpira umeanza Uwanja wa Benjamin Mkapa | Simba SC 0-0 Horoya
SureMi huwa naangalia mechi zote bila kujali nani anacheza,mpira ni mtoko kabisa