FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

"Huyu kocha anazingua sana,Kibu ilikuwa Sub ya mapema sana,kumuacha Kibu dkk 90 nikutukosea heshima kabisa,inauma sana" Shabiki wa tawi la mpira pesa baada ya dk 90
 
Kibu aheshimiwe mkuu
 
Amna,huyo tunamjua hii game horoya watakaa nyuma sana so kibu sio chaguo sahihi
Yaah ila hawa jamaa ni wazuri mipira ya juu,kwenyemipira ya kutengwa inabidi muwe vizuri sana,sababu jamaa ni warefu sana.
 
Amna,huyo tunamjua hii game horoya watakaa nyuma sana so kibu sio chaguo sahihi
Yap, wanaweza taka kutumia counter tatizo ni kwamba wanautaka sana huu ushindi na wao, watalazimika kufunguka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…