FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

"Ilikuwa mechi nzuri wachezaji wetu walikosa tu umakini,ila dk 15 za mwanzo tungeweza kuongoza goli 3,Kibu kakosa goli mbili za wazi na ile iliyogonga nguzo,Simba leo hatukuwa na bahati tu..... nadhani tujipange Kwa msimu ujao maana Kwa waarabu ni ngumu kutoboa "Shabiki wa tawi la wekundu wa terminal


Guvu moya πŸ˜€
 
Unatujazia uzi wetu ushubwada tuu
 
Umetumwa wewe
 
Yani ww kwny uzi wa Simba uko active mnoo wa kwenu sasa mpk mfunge moja ndo unatokeza kama kicheche πŸ˜† πŸ˜†
Hapana mkuu si kweli mkuu,hizi tuhuma nzito sana natakiwa kuombwa radhi na kusafishwa
 
Game hata bado kuanza lakini uzi unashambuliwa balaa..hii ndio baba wa mpira Tanzania[emoji1306][emoji1306][emoji1306]

Utopolo hata kunywa maji hawataki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…