FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

Kuna fala kabetia mke huku
Your browser is not able to display this video.
 
Ukapakwa mafuta
 
Yaah ila hawa jamaa ni wazuri mipira ya juu,kwenyemipira ya kutengwa inabidi muwe vizuri sana,sababu jamaa ni warefu sana.
Takwimu zinaonesha jana walipata kona 160 na freekick 80 lakini on target sikumbuki
 
Hofu yangu haya maneno tunaweza tukayasikia leo
 
Game hata bado kuanza lakini uzi unashambuliwa balaa..hii ndio baba wa mpira Tanzania[emoji1306][emoji1306][emoji1306]

Utopolo hata kunywa maji hawataki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakumbushe waje wamalizie walipoishia jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…