FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

JE, WAJUA?


Kwa ushindi wa magoli 7-0 dhidi ya #Horoya, #Simba imekuwa timu ya pili kutoa kipigo kikubwa zaidi katika historia ya Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika

Vipigo vitano vikubwa zaidi katika hatua hiyo ni

#TPMazembe 8-0 #ClubAfricain (2019),

#Simba 7-0 Horoya (2023),

#ASECMimosas 7-1 #CRBelouizdad (2001),
#RajaCasablanca 6-0 #Yanga (1998)

#Enyimba 6-0 #BigBullets (2004)
 
Duh... Naona Utopolo nao wapi kwenye record za CAF, lakini wao ni kwa kupata kisago cha aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…