SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Hamna wapigwe tu. Wana mdomo sanaKesho Yanga Aishe Kuongeza Idadi Ya Team
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna wapigwe tu. Wana mdomo sanaKesho Yanga Aishe Kuongeza Idadi Ya Team
Wiki hii yote sikucomments thread yoyote ya Horoya vs Simba,jipigieni tuu.Baadae mtakuja kusema Simba Sc kashinda kwasababu Horoya ni wabovu.
Ile hype mliyokuwa mnawapa Horoya kabla ya game mtaikataa na kuwaita ni wabovu.
Wahurumie Uto Mkuu [emoji1787][emoji1787]Pigeni la nne tupate hela ya kutolea
🙌🙌Mwendo wa mateka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha ujingaToa Kibu weka Sakho,toa Mzamiru weka Mkude
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]Mwendo wa mateka
Katika mashabiki wa Yanga ww uko very real..kwny ukweli hupepesi hata ukipondeq unapondea ukweli mtupuuu...Wiki hii yote sikucomments thread yoyote ya Horoya vs Simba.
Ni kweli, ila hatuna haja ya kufikiria hizo hela maana tukiingia tu robo fainali tuna zaidi ya 1.4B. Hizo tuwaachie Yanga wapige nazo pichaKama hatujafilisi bajeti yote ya serikali sijui. Huu ni uhujumu uchumi 🤣😂🤣
Nice confessionKesho sina pa kukimbilia. Nitajitahidi kuwaangalia wananchi wenzangu mwanzo mwisho. Naamini na sisi pia tutafanya vizuri. Insha Allah. [emoji2969]
Karibu for a glass of Nederburg [emoji485][emoji3][emoji3]Waooooooh Simba fans mmewapa moyo sana wachezaji...mbarikiwe mnoooo
Uwanja umefurikaaaa
Mnyama Mkubwa Mwituni asiyefugika, Simba Sports Club anashuka dimbani leo kuikabili Horoya AC katika mchezo muhimu wa kundi C.
Simba itaingia uwanjani ikiwa na alama 6 huku Horoya wakiwa na alama 4. Ushindi wa aina yoyote utawafanya Simba wafuzu robo fainali.
Leo ni ama afe kipa au afe beki, ushindi ni lazima kwa Mnyama, na kwa uzoefu wangu, mechi za namna hii Simba akiwa kwa Lupaso huwa tunashinda goli zisizopungua 3.
Shime wana Simba tujitokeze kwa wingi hapo Lupaso ili tukahanikize ushindi wetu mapema, najua friends of Horoya watakuwepo ila hawatosumbua.
Mchezo utakuwa mubashara saa 1:00 usiku na kama kawaida, ZBC 2 ya AzamTv na Variety 4 ya DStv watakuwa live.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Simba Sports Club. 🦁🦁🦁
====
Kikosi cha Simba SC
Timu zinaingia uwanjani
Mchezo unaanza
2' Timu zinasomana mchezo
5' Simba wanaongeza kasi ya mashambulizi
10' Goooooooooo
Chama anafunga goli kwa faulo ya moja kwa moja
15' Simba wanakosa nafasi ya wazi baada ya Kibu Denis kuteleza
20' Horoya wanaonesha kujibu mashambulizi
27' Kidogo kasi ya mchezo imepungua lakini timu zote zinatengeneza mashambulizi
29' Kadi ya njano kwa Kibu Denis
31' Gooooooooo
Baleke anafunga goli la pili
35' Penatiiii kwa Simba baada ya mlinzi wa Horoya kuunawa mpira
Gooooooo
Chama anaipatia Simba goli la tatu kwa penati
45' Zinaongezwa dakika 2
MAPUMZIKO: Simba wanaongeza kwa Magoli 3-0
Thanx mwana lunyasi mwenzanguKaribu for a glass of Nederburg [emoji485][emoji3][emoji3]
Déjame en paz 😏😏😏Nitakupigia video call kama hutaki salamu zangu
Tutamkodishia body guard wa kumlinda
That's it[emoji173][emoji817][emoji818]
[emoji28][emoji23][emoji1787][emoji1787] kama ilivyo ada...Nimechungulia vibuyu nimeona Mnyama akitamalaki nyumbani kwa ushindi mnono wa mbili bila