FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

Acha kabisa best nadhani umeona mwenyewe kabisaaa..
Yani ndo naanza kusoma comments nilikua ktk furaha ya ajabu hata kuandika ilikua ishu
Mie lilivyoingia la tatu nikaona isiwe tabu bora nikatafute wakugegesa usiku waleo🤣🤣🤣🤣
 
kwamba ww unajua kuliko raja aliye kukanda 3
kwamba bosi wao ajahaidi m100 na ajawapa baada ya mechi ya raja
Bwana ww huwezi kutuharibia siku yani ww ndo unateseka mnooooo
Hata wakitukanda tena bado tutaenda robo fainali..
Tumelipa 3 zake na 4 za nyongezaa
 
Sema humu jf watu wana himaya zao washajitengenezea mfano wewe mkuu
seven-1181077__340.jpg
IMG-20230318-WA0152.jpg
 
Raisi la Horoya lizuri bana. Kaka popote ulipo achana na hawa hawachukui ubingwa... kuna timu mbele itakulipia. Mahaba hayana timu 😎😎😎
 
Back
Top Bottom