FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

Raisi la Horoya lizuri bana. Kaka popote ulipo achana na hawa hawachukui ubingwa... kuna timu mbele itakulipia. Mahaba hayana timu [emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee dear hebu utulie kwan bas, sisi tuna furaha ya ajabu, huyo rais picha yake iko wapi kwan?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee dear hebu utulie kwan bas, sisi tuna furaha ya ajabu, huyo rais picha yake iko wapi kwan?
Ipo Kule Kuna Uzi wameweka bonge la handsome
 
Utakuwa ni mtu wa ajabu kama hujui sababu za Simba kushangilia.
1. Robo fainali
2. Ushindi mnono
3. Horoya na yeye angekuwa na nafasi ya kuingia robo fainali kama angeshinda( Kwahiyo, ilikuwa fainali).
4. Simba ilikuwa inasemwa vibaya sana( ushindi huu unawafanya maadui waaibike na kutahayari).
no 3 nimesha kwambia horoya hakuja kushindana tayari wana mgomo baridi wa kunyimwa m100 waliyo haidiwa na raisi wao

raja na ubabe wake nyumbani kwake kashinda 2 kwa 1 ww una uwezo gani wa kushinda 7 (ndo nakwambia horoya alikuja kamilisha ratiba tu sio ushindani)
 
Back
Top Bottom