FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

Huyu mzungu aliye kaa karibu na Rais anakwenda kama nani?
Lisije likawa jesusi jeupe! ............Nawaza tu
 
Timu zipo uwanjani zikifanyiwa ukaguzi na salamu.

Mh Rais Samia Suluhu Hassan akiwa amefika Dimbani.

Kuashiria kuanza kwa Kandanda hili

00' Naaaam mpira umeanza Uwanja wa Mkapa dakika 90 za jasho na damu Vodacom Premier League VPL

Simba SC 0-0 Yanga SC
 
Back
Top Bottom