FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

aba910ed32a64353897d4a8499a5870b.jpg
 
Mimi kwa mara ya kwanza jana wala sikusikitika kufungwa na sababu nadhani ni Manara huyu ametokea kunitoka tu na tabia zake za kishamba ndiye anaharibu hii team hawa wachezaji wetu wanajiona kama wamemaliza team yoyote ikiingia uwanjani bila kuheshimu wapinzani sio kuwaogopa ila kuheshimu unayecheza naye utaishia pabaya. Duniani sijawahi kuona team inaongelewa na mtu nje ya bench la ufundi au mchezaji. Ni kocha au captain au mchezaji mmoja yoyote ndio wanatakiwa kuwa katika press hakuna kitu msemaji wa team. Manara nafasi nyuma ya pazia ku coordinate press na media lakini sio kuongelea team. Hili nataka liwefunzo kwake amuombe msamaha yule mwandishi alimwambia mechi 3 za mwisho Yanga amekuwa na matokeo mazuri akaishia kumtukana yule dada sasa sio mechi 3 imekuwa mechi za mwisho.
Pamoja na yote aliyo yafanya Manara, mbona sioni tusi pale , hivi mnajua maana ya kumdhalilisha mtu?.

Barbara Gonzalez CEO wa simba, baada ya Ile press, CLOUDS FM kwenye sport xtra wakiongozwa na Ediga kibwana walimtukana Sana na kwenda mbali zaidi wakamuita "Hoya Hoya" tena wakiwa live cha kushangaza sijasikia huyo mama analia lia popote.
 
Unajuwa kuna maneno mtaani unaweza kuyatumia tusi lakini kwa maana ya kusifia mfano " Jamaa anajuwa mpira nyoko huyu" na yako maneno mengi tu lakini hayo maneno huwezi kuyatumia kwenye media au public press. Wenzetu majuu ukitumia neno https://jamii.app/JFUserGuide kwa bahati mbaya sababu neno la kawaida mitaani kusifia kitu ila halikubaliki kulitumia rasmi wanaomba msamaha. Alichokosea Manara ni kutumia neno kudadadeki mara nyingi tu na ile kumwambia mwandishi hasa wewe nitaonesha SMS zako nilikuwa nakutafuta wewe naona umetumwa wewe maneno mengi yasiokuwa na ulazima. Manara anatakiwa ku act na weledi anawakilisha team kubwa sio press yako personal unaongelea taasisi sio maoni yako. Nadhani ile press atakuwa amejifunza.
 
Back
Top Bottom