FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

Katika siku niliamini tunapiga chura kwa asilimia [emoji817][emoji736] ni leo wakuu nimebeti na my husband dah Elfu kumi yangu inaondoka kimasihara[emoji19]
Na cha usiku unapata tena ningekuwa Mie nakupa kimoja Tu [emoji106][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Washamba wa mitandao hao.

Akitokea Mbwiga kama huyo unamuangalia kisha unasema hihihihiiiiiiiiii. 😀😀
Swahiba huyo bwege kaniunganishia mitusi nimeishia kumcheck tu maana najua wamekaririshwa vibaya
 
Hivi nyie utopolo mtakubali kukosa kombe kila mwaka kisa vi kina prisons, mwadui na wengine hadi lini? Maana mikia mshaidhibiti mwaka wa pili sasa
 
Mimi kwa mara ya kwanza jana wala sikusikitika kufungwa na sababu nadhani ni Manara huyu ametokea kunitoka tu na tabia zake za kishamba ndiye anaharibu hii team hawa wachezaji wetu wanajiona kama wamemaliza team yoyote ikiingia uwanjani bila kuheshimu wapinzani sio kuwaogopa ila kuheshimu unayecheza naye utaishia pabaya. Duniani sijawahi kuona team inaongelewa na mtu nje ya bench la ufundi au mchezaji. Ni kocha au captain au mchezaji mmoja yoyote ndio wanatakiwa kuwa katika press hakuna kitu msemaji wa team. Manara nafasi nyuma ya pazia ku coordinate press na media lakini sio kuongelea team. Hili nataka liwefunzo kwake amuombe msamaha yule mwandishi alimwambia mechi 3 za mwisho Yanga amekuwa na matokeo mazuri akaishia kumtukana yule dada sasa sio mechi 3 imekuwa mechi za mwisho.
 
Back
Top Bottom