FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

Mwanzoni mwa miaka ya 90 Simba ilikuwa nzuri kama ilivyo sasa. Wakaingia uwanjani kwa kujiamini. Tukapigwa la kwanza, wana Simba tukaamini tutachomo na kushinda. Kudadek dkk 90 tukalala 3-1 au 4-1(sikumbuki vzri ila Simba ililala). Naona historia inajirudia leo.
 
Niliwaambia hata katika kubet mechi ya derby unashauriwa usiingie mzima mzima. Wachezaji hua wanajitoa sana.
 
Back
Top Bottom