FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

Man of the match
32feb483a7fb46fa9a7fe9443aa7f37a.jpg
 
Mtani usije ukakimbia tu hili jukwaa ukae mpaka mwisho si unaona wengine hawathubutu kukaribia pa moto hapa, ila wewe umejitosha mapema.
Akii niwakimbie Simba wa kufugwa? Nipo sana mkuu ila na wewe usijehama jukwaa eeh let's wait and see😂 afu nani anaenda uwanjani wakuu tuibuke wote maana nimepania sanaa😛
 
Back
Top Bottom