Narekeremo
JF-Expert Member
- May 20, 2021
- 714
- 755
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaaa. Na nina miiko yangu nje ya 90mins huwa sijibu quotes. 🤣🤣🤣🤣
The citizens 1 - Mikia 0Ngapi ngapi wakuu
Daah presha inapanda presha inashukaThe citizens 1 - Mikia 0
Piiiiiiiiiga hao mikiaaaaa
Mana wataanza kimekuwa hivi mara kimekuwa vile unakaa kujiuliza muda wote alikuwa wapi huyu. 🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂
Aisee vibaya hivyo unafuraha hadi nimeona gego badala ya jino😒😂😂😂😂😂😂😂😂
Dah dd naona dalili zote za kwenda kuoga nikiwa tupu tupuKabisaaa. Na nina miiko yangu nje ya 90mins huwa sijibu quotes. 🤣🤣🤣🤣
Kukurukaaaaa mwanango haruuuh.... ( in bambo voice ) 😂😂😂 hampati kituHii sub sasa ndo yenyewe, subirini kamba hapa.
Daah presha inapanda presha inashuka
Usiende ndani, kaa hapo hapo kwenye mlango wa chooYani hapa nimesha hara mara tatu. Huu ushabiki wa mpira utaniuwa [emoji25][emoji25]
PoleYani hapa nimesha hara mara tatu. Huu ushabiki wa mpira utaniuwa [emoji25][emoji25]
Hamna uezi wana Quater final nyie mdogo wangu. 🤣🤣🤣Dah dd naona dalili zote za kwenda kuoga nikiwa tupu tupu
Hii pole siitaki si ya kutoka kumoyo 😀😂😂😂😂😂Pole
Aisee vibaya hivyo unafuraha hadi nimeona gego badala ya jino😒