FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

Yani hapa nimesha hara mara tatu. Huu ushabiki wa mpira utaniuwa [emoji25][emoji25]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mana wataanza kimekuwa hivi mara kimekuwa vile unakaa kujiuliza muda wote alikuwa wapi huyu. 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…