FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

Mtani usije ukakimbia tu hili jukwaa ukae mpaka mwisho si unaona wengine hawathubutu kukaribia pa moto hapa, ila wewe umejitosha mapema.
Akii niwakimbie Simba wa kufugwa? Nipo sana mkuu ila na wewe usijehama jukwaa eeh let's wait and see๐Ÿ˜‚ afu nani anaenda uwanjani wakuu tuibuke wote maana nimepania sanaa๐Ÿ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ