FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

Nilikua no network zone [emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi wa kimataifa huku tumewaachia nyie mihogo fc. Tunasubiri tupangwe na Mamelodi tukamtungue hukohuko kwao.

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hongereni mikia maana bila yule kipa kuwapa Sadaka,saizi mngekuwa mnamtukana Mgunda tu
 
Pascal Wawa na Kagere hawajataka masihara kabisa
 
Haya nyie mliokuwa mnashangilia sare huu ndio msimamo jamani.🤣🤣🤣
 
Mo tengeneza timu yenye soka zuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…