changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Hapa kuna vitu navikubali na vingine navikataa. Ni kweli squad ya Simba pamoja na benchi benchi lake la ufundi wanauwezo wa kawaida sana ila swala la kusema kuwa wale wa Malawi na wa Angola wametolewa sababu ya ubovu nakukatalia. Simba wameshakuwa na upepo mzuri sana na michuano ya kimataifa. Yanga wangepangwa na wale wa Angola tungetolewa nakuhakikishia.. inapokuja swala la michuano ya kimataifa kuna gap kubwa sana kati ya Simba na YangaNilishawahi kusema simba kwa sasa ana timu ya kawaida sana sio ile simba ya miaka minne nyuma.. wazawa wengi umri umeenda na wameshuka viwango, wachezaji wa kigeni ukitoa inonga wanaobaki karibu wote ni overrated mbaya zaidi kwa miaka takribani miwili mfululizo simba kafanya usajiri wa ovyo, hapa bongo simba inazipiga timu za chini ila timu nzuri zinamsumbua kule caf wale wamalawi na waangola mliowatoa wangecheza na yanga wangetolewa kwa aggregate kubwa zaidi ya magoli ila kwa ubora wa simba wa sasa sina uhakika kama angeweza kumtoa al hilal au club african., njia aliyopita simba kule caf ni kitonga sana ukilinganisha na aliyopita yanga.. ila mashabiki wa simba walinishambulia, ukweli mchungu ambao mashabiki wa simba hawataki kuukubali ni kwamba "timu yao haina ubora mkubwa ambao wanafikiria kuwa wanao"
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app