FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

Wadau mapendekezo yenu yatafanyiwa kazi nimewasilisha tayari faili kwa Baaaaabra
 
Kwa hiyo unataka nikuombee uifunge Singida Big Stars, ili uongoze ligi! Hilo sahau aisee. Uzalendo ni kwenye mechi za kimataifa tu.

Binafsi huwa nakuwa upande wenu mkicheza mechi za Kimataifa! (Ingawa huwa mnachonga sana) ila mkicheza na timu ya ligi kuu, aisee haitatokea hata siku moja nikawa upande wenu.
Hata huko pia hatupaswi kuombeana dua

Yani nikuombee dua upite makundi afu uanze kunitambia?

Naona umeanza kusema unatuombeaga dua kimataifa baada ya kuona ugumu wa mpinzani wako

Kwenye mechi ya Zalan mlijiamini sana na mlikuwa kivyenu hamkutaka hata kampani na tuliojitokeza tulisimangwa kama wapambe

Nilipenda sana ile happy ending ya Mayele kuchukua selfie na mashabiki, ila nilichukizwa mno baada ya game na Club Africain kutomuona Mayele akichukua selfie
 
Tunapokezana Mkuu.
Sawa najua itakavyo kuwa

Mkishinda mtakuwa ma warrior huku mitandaoni hadi mitaani

Mkipoteza mtapoteana huku mitandaoni hadi mitaani bila kujali kuwa kuna kipande cha furaha ulikipata baada ya kuona sare ya Simba

Naandika hivyo kwasababu nawajua, mi sio wageni na nyie afu sijui huwa mnaambizanaga
 
Mnaotucheka hapa, baadaye msije na dhana ya kiujamaa kusema uzalendo

Ili siku iwe mbaya kwetu ni kuwa na hakika kuwa nyinyi mtashinda

Tukifungwa tutakuwa tumepoteza points 3 basi nyinyi mnabidi mshinde ili muwe na siku nzuri zaidi

Kwasababu mkifungwa mtakuwa mmepoteza points 3 na millions of money pamoja na CV mbovu

Pia hamtaishia hapo tu hata safari ya kocha itakuwa mwisho wake ndio hapo, wale vibopa mliokuwa mnawasifia wote wataonekana wana damu ya mandonga tu
Huu uzi ni mahususi kwa ajiri ya mechi ya singida vs simba iyo timu nyingine unayolazimisha kuijumuisha hapa wala haihusiki., itakua vyema point zikilenga zaidi kwenye game ya simba vs singida
 
giphy.gif
Mnapigana kupata droo 🤣
 
Sawa najua itakavyo kuwa

Mkishinda mtakuwa ma warrior huku mitandaoni hadi mitaani

Mkipoteza mtapoteana huku mitandaoni hadi mitaani bila kujali kuwa kuna kipande cha furaha ulikipata baada ya kuona sare ya Simba

Naandika hivyo kwasababu nawajua, mi sio wageni na nyie afu sijui huwa mnaambizanaga
Hii ni kama kwenu tu saa hii wenzako ndo wanaanza kuja kuja ila mwanzoni walikuacha peke yako.
 
Mimi nafikiri Kocha Mgunda hana uwezo wa kuisadia simba Kwa sasa. Timu inacheza kama ina homa ya vipindi leo onàshinda kesho inafungwa siyo predictable.
Wasipobadilisha kocha, muda siyo mrefu itaanza kufungwa na timu kama ihefu.
 
Back
Top Bottom