FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

Mgunda kivuli tu pale matola ndo head coach wa simba kumuanzisha kanoute mkude na mzamiru zile ni tactics za matola sio mgunda naamini hvyo.
Matokeo yakiwa hamjafurahia jumba bovu anaangushiwa Matola, ila matokeo yakiwa upande wenu sifa nyingi zinaenda kwa Jumanne Mgunda. Na maneno kede kede kuwa Guardiola mnene. Basi kwa zuri na baya, tambueni uwepo wa Matola.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Hii timu haikutakiwa kupata hata sare! Ila siyo mbaya. Kudondosha hata hizo pointi 2, bado ni faida tosha kwa wananchi.
Sawa sawa huu utaratibu wa kuombeana dua mbaya ndio tuliouzoea and we are okay with that

Hawa watu waliokuja na sera za kiuzalendo ni wakuwapuuza tu, watuache na utaratibu wetu

Game saa ngapi?
 
Nimependa professionalism ya wachezaji wa zamani wa simba wamecheza kama hawakuwahi kucheza simba kipindi cha nyuma medie kagere na ndemla wamekiwasha leo sio wale kina mateo Antony na Vincent chikupe walivyocheza walipokutana na yanga mpaka wakatoa asist ya goli ngoja tuone mechi ya yanga kama singida watapania kama leo.
hua hamkosi maneno
 
Sisi hatujwahi kuwa kibonde.. labda akili zinawaaamisha hivyo Azam haijawahi mfunga Simba zaidi ya juzi.
Angalia record utakuwa umesahu labda

Simba kamfunga Azam game 10 kama sikosei na Azam kamfunga simba game 8 kama unabisha na hili utakuwa unabisha bila facts
 
Licha Ya makosa ya kizembe ya bekiline ya Simba, Benno aachwe apumzike kwa kweli.hana Match fitness. Pale htar inapotokea
 
Umakini mdogo Sana kwenye nafasi tunazopata. kama na kwenye cuf tutaenda hivi ,kupata nafasi 10 moja ndo ufunge tu-low expectations tu.
Aise
Umakini mdogo Sana kwenye nafasi tunazopata. kama na kwenye cuf tutaenda hivi ,kupata nafasi 10 moja ndo ufunge tu-low expectations tu.
We una kibu ndani anakosa magoli ya wazi then tutegemee ubingwa hakuna kitu kama hicho mi Simba naipenda ila kibu kucheza dakika zote acha Yanga awe Bingwa
 
Angalia record utakuwa umesahu labda

Simba kamfunga Azam game 10 kama sikosei na Azam kamfunga simba game 8 kama unabisha na hili utakuwa unabisha bila facts
Ngoja nitafute ile chart ilokua inatembea humu labda kama nimekosea
 
Sawa sawa huu utaratibu wa kuombeana dua mbaya ndio tuliouzoea and we are okay with that

Hawa watu waliokuja na sera za kiuzalendo ni wakuwapuuza tu, watuache na utaratibu wetu

Game saa ngapi?
Kwa hiyo unataka nikuombee uifunge Singida Big Stars, ili uongoze ligi! Hilo sahau aisee. Uzalendo ni kwenye mechi za kimataifa tu.

Binafsi huwa nakuwa upande wenu mkicheza mechi za Kimataifa! (Ingawa huwa mnachonga sana) ila mkicheza na timu ya ligi kuu, aisee haitatokea hata siku moja nikawa upande wenu.
 
Kolo ilitakiwa alale yoo bahati yake, muache ashangilie draw maana alikua anakalishwa leo.
All in all haka katimu big stars wananchi wajiandae, wale wachezaji wa pale ni shoka kwelikweli.
 
Ww pambana na kwanz na timu yako ya walamba lambalamba mjaze kwanza uwanja Simba ni kifaa kingine kaka yangu..hilo ni swala dogoo
Mtu bora ununue jersey ya Azam kumuangalia kipre jr kuliko sako mchezaji hana akili kabisa
 
Back
Top Bottom