FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

Nyie mnaoshangaa drooo ya moya kwa moya mbona ndo ushindi wenu huoo hapo utopoloni? Yani nyie nyingi kwenu ni droo na mkifunga basi ushindi mwembambaaa
Anyway mliocheza leo wote ni vibonde wa azam sare ilikuwa maatokeo fair kwenu
 
Leo kama ni mke unashabikia mihogo Fc au vyura andaq kabisa nguo za mumeo usije unguza na pasi buree. Maana mtakufa kifo cha mendeee
 
Jamani tushtuane mechi ya Wana wa Tunis ikianza sisi ndo washereheshaji humu uzi hautaboa hautachosha yaaaaniii mpk tumalize msiba.
 
MO tengeneza kikosi chenye muunganiko , cha kiufundi, chenye bench la ufundi...Kama lakini una ndoto za kuwa club kubwa.

Simba ina struggle sana against club kubwa YANGA, Azam , SINGIDA B star..
Hichi ni kipimo ..

Angalia player skills za fowadi ya simba... kama una team anaylist atanielewa kufafanua...
 
Confirmed Simba hawezi kuwa Bingwa mwaka huu kama hatakuwa na mikakati ya ziada wanapocheza viwanja nje ya Mkapa. Poor performance leo. Umakini mdogo na walicheza utadhani walihitaji sare tu.
Hakuna aliekamiwa bhana simba haina uwezo mkubwa kama ambavyo mashabiki wanafikiri, hapo kwa mkapa alipigwa na azam tena sio kwa kubahatisha mpira alipigiwa
 
Back
Top Bottom