FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

Mgunda kivuli tu pale matola ndo head coach wa simba kumuanzisha kanoute mkude na mzamiru zile ni tactics za matola sio mgunda naamini hvyo.
Matokeo yakiwa hamjafurahia jumba bovu anaangushiwa Matola, ila matokeo yakiwa upande wenu sifa nyingi zinaenda kwa Jumanne Mgunda. Na maneno kede kede kuwa Guardiola mnene. Basi kwa zuri na baya, tambueni uwepo wa Matola.


Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Mtu bora ununue jersey ya Azam kumuangalia kipre jr kuliko sako mchezaji hana akili kabisa
Huyo sakho ana akili muda mwingine ohooooo wee muache hapo hapooo
 
Hakuna aliekamiwa bhana simba haina uwezo mkubwa kama ambavyo mashabiki wanafikiri, hapo kwa mkapa alipigwa na azam tena sio kwa kubahatisha mpira alipigiwa
Nakubaliana na ww. Hata talent ya wachezaji wanazidiwa na wachezaji wa timu ndogo tu ambazo hazina mishahara mikubwa kama wao.
 
Bila red card mbili simba ata kwa mtibwa asingefua dafu
 
Kilichonishangaza Simba kumuanzisha mkude+mzamiru+kanoute. Hapa kocha sijui aliwaza Nin?
 
Nawasiwasi na uwezo wa mgunda, mechi ngumu zote hajapata ushindi. Ukianza na Kmc, Azam, Yanga na leo singida. Tusipumbazwe na matokeo ya cafcl njia tuliyopitia ni nyepesi sana
Nilishawahi kusema simba kwa sasa ana timu ya kawaida sana sio ile simba ya miaka minne nyuma.. wazawa wengi umri umeenda na wameshuka viwango, wachezaji wa kigeni ukitoa inonga wanaobaki karibu wote ni overrated mbaya zaidi kwa miaka takribani miwili mfululizo simba kafanya usajiri wa ovyo, hapa bongo simba inazipiga timu za chini ila timu nzuri zinamsumbua kule caf wale wamalawi na waangola mliowatoa wangecheza na yanga wangetolewa kwa aggregate kubwa zaidi ya magoli ila kwa ubora wa simba wa sasa sina uhakika kama angeweza kumtoa al hilal au club african., njia aliyopita simba kule caf ni kitonga sana ukilinganisha na aliyopita yanga.. ila mashabiki wa simba walinishambulia, ukweli mchungu ambao mashabiki wa simba hawataki kuukubali ni kwamba "timu yao haina ubora mkubwa ambao wanafikiria kuwa wanao"
 
Back
Top Bottom