FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

Kumbe Wazungu nao akili hawana. Huyu Federico hadi mda huu sijui yupo uwanjani kwa sababu gani. Mgunda aki overload upande wa Kapombe chapu Simba wanapata gori
 
Kwenye comment yake,bonyeza kwa jina lake,kisha kwa juu upande wa kulia utaona dots tatu hapo ukibonyeza itakuja hiyo option ya kublock/Ignore.Bonyeza hapo utakuwa umemaliza kazi.Huoni tena comment zake
Mi naulizia kusubscribe mkuu
 
Back
Top Bottom