Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Tutakuwepo hadi saa 4 hapaOoh! Haya kama yupo japo uezi amini ndo anaeza potea mazima hasa baada ya matokeo ya saa mbili usiku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutakuwepo hadi saa 4 hapaOoh! Haya kama yupo japo uezi amini ndo anaeza potea mazima hasa baada ya matokeo ya saa mbili usiku.
Uzi unajielezaTupeni updates acheni ujinga nyie hapo juu
Dkk ya ngapi?Uzi unajieleza
Sawwwa sawwwa. Uwepo Mtani.Tutakuwepo hadi saa 4 hapa
83Dkk ya ngapi?
Mi naulizia kusubscribe mkuuKwenye comment yake,bonyeza kwa jina lake,kisha kwa juu upande wa kulia utaona dots tatu hapo ukibonyeza itakuja hiyo option ya kublock/Ignore.Bonyeza hapo utakuwa umemaliza kazi.Huoni tena comment zake
Daah hatari draw hii
Furaha ni kuwa na marafiki, haswa wavaa jezi nyekundu kama sisiSawwwa sawwwa. Uwepo Mtani.
Zaidi ya majangaDaah hatari draw hii
Nyie wakimatakfa tuu huku local waachieni wala mihogo. Kaleni burger mapiza huko sijui rabat, mara sauz.Mhhhh ila hivi vitimu vidogo vidogo vikiongozwa na Yanga ni vibishiii
Dooh!! Naiona diroo tena hapo Mtani. Teh teh.
Ngoja tutafute mganga wa local.😂😂Nyie wakimatakfa tuu huku local waachieni wala mihogo. Kaleni burger mapiza huko sijui rabat, mara sauz.