FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

Kikubwa hatujapoteza hivi vitimu vidogo vidogo ni kazi sana kuchezq navyo..Tushazoea kucheza na wakubwa wenzetu kina Esperance de tunis 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆
 
Kumbe nawewe umemuona eeh? Anajificha nini sijui mzabzab
Nyie mnalazimisha tuu mie kuwa na mkia. Wala sina mkia mie zaida ya ule wa kiume 🤣🤣🤣🤣.
Ila nipeni utabiri wenu kuhusiana na kule tunis leo kwenye uwanja wa rhades....au ndio tuishie kusema tuombe mungu 🤣🤣🤣🤣
 
Kikubwa hatujapoteza hivi vitimu vidogo vidogo ni kazi sana kuchezq navyo..Tushazoea kucheza na wakubwa wenzetu kina Esperance de tunis [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Kila kitu nyie hamuwezi bora sisi ndani tunaweza
 
Hadi kesho, Kibu hajawahi kuwa chagua sahihi pale mbele! jamaa sijui anashida gani anapokuwa na mpira! hatuliii
 
Kibu ametugharimu..forward wa hovyo sana
 
Back
Top Bottom