joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Ww huna timu yani hauna. Hawa Singida wazuri kuliko ww.Usiwe na haraka mkuu wakati wa kukandwa utafika na utakandwa baraabara non stop.
Ukikutana na timu ina nidhamu nzuri ya ukinzi na fitness nzuri, utaishia kupigwa au droo ndio maana Coastal walikupa tabu,Yanga ndio kabisa ukicheza dk 30 baada ukapotea.