Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kwa Hersi maana huyu ndiye key player na mpira anaujua,sio kama Magori maana juzi kaonesha weakness ambayo inaweza ikawacost wahezaji saikolojikali. Endeleeni kusubiri.Ni suala la muda, Sina wasiwasi na Simba sababu najua inaenda ikiongezeka ubora na tunajua January itazidi kuwa bora.
Kwa Yanga hii nakiri ipo kwenye peak ya ubora ila hizi timu zetu tunazijua zikishakaa kwenye peak misimu mitatu minne mfululizo, kifuatacho ni kipigo cha mwizi.
Ok mkuu.Sio kwa Hersi maana huyu ndiye key player na mpira anaujua,sio kama Magori maana juzi kaonesha weakness ambayo inaweza ikawacost wahezaji saikolojikali. Endeleeni kusubiri.
Ubaya UboyaSio tumewaweka nafasi ya tatu, ubovu wenu ndio umewaweka hapo. Na hata iyo nafasi ya tatu nayo mnapaswa kuipambania sana..
Ubaya ubwela[emoji23][emoji23]
Naona Pacome kafunga goli la makosa ya kibinadamu!!Kwa Nini hizi mechi huwa zinachezwa usiku ili hali zile za Zanzibar zinachezwa jioni ya kawaida!?
Anyway itakuwa mechi ngumu itakayoamuliwa na "makosa ya kibinadam"
Kwa kulaza wachezaji wenu makaburini na kuruka ukuta kuingia uwanjani haitoshi kujuwa kwamba simba ndy timu inayokusumbuwa?Sasa nyinyi mna ugumu gani! Mechi nne mfululizo mnafungwa!! Hawa Singida Black Stars kuanzia leo ndiyo washindani wetu wa kweli. Ila siyo nyinyi Visingizio Fc.
Man of the match was KayokoUzuri na nyinyi mlipokea hako kabahasha kamoja! Kwa hiyo msiwaonee wivu wenzenu.
Muangalie kwa namna ganiHawa Yanga tusipoangalia wanaweza kuokota ubingwa tena kimzaha mzaha. Kila timu akikutana naye inakula chuma japokuwa ushindi mwembamba.
Mechi ijayo achezeshe Tatu Malogo.Man of the match was Kayoko
Kama wenzenu wanapata ushindi kwa kutumia njia hizo, na nyinyi fanyeni basi! Siyo mnalalamika tu.Kwa kulaza wachezaji wenu makaburini na kuruka ukuta kuingia uwanjani haitoshi kujuwa kwamba simba ndy timu inayokusumbuwa?
Kolo wanasumbuliwa na wivu wa kutupenda, tulipoanzisha kono la nyani society kolo walikuwepo, saivi tuna kimoko society kolo yupo ndani.Kama wenzenu wanapata ushindi kwa kutumia njia hizo, na nyinyi fanyeni basi! Siyo mnalalamika tu.
Kono la Nyani(Juliana) vs Dally KIMOKO.Kolo wanasumbuliwa na wivu wa kutupenda, tulipoanzisha kono la nyani society kolo walikuwepo, saivi tuna kimoko society kolo yupo ndani.
Simba akikutana na hiki kitimu analambishwa mchanga tenaSimba naiona nafasi ya tano
Mkuu wewe angalau umenifungua macho sasa, maana naitazama yanga mwenendo wao binafsi naona kama hawanifurahis na wananipa was was huko Caf itakuaje maana live kabisa unaona kuna vitu vimepungua sana, focus imepungua, aggresivenes imepungua, seriousness bado ipo ila imekosa malengo flan. Nikawa najiuliza hapa kuna nini??Kila la heri kwa Wananchi Young Africans. 💛💚💪
Ingawa natambua fika wachezaji wengi kwa sasa mna fatique! Ila hakuna namna. Ushindi ni muhimu.