FT: Singida BS 0-1 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024

FT: Singida BS 0-1 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024

Ni suala la muda, Sina wasiwasi na Simba sababu najua inaenda ikiongezeka ubora na tunajua January itazidi kuwa bora.

Kwa Yanga hii nakiri ipo kwenye peak ya ubora ila hizi timu zetu tunazijua zikishakaa kwenye peak misimu mitatu minne mfululizo, kifuatacho ni kipigo cha mwizi.
Sio kwa Hersi maana huyu ndiye key player na mpira anaujua,sio kama Magori maana juzi kaonesha weakness ambayo inaweza ikawacost wahezaji saikolojikali. Endeleeni kusubiri.
 
Wamelewa Hawa.
20241030_235759.jpg

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sio kwa Hersi maana huyu ndiye key player na mpira anaujua,sio kama Magori maana juzi kaonesha weakness ambayo inaweza ikawacost wahezaji saikolojikali. Endeleeni kusubiri.
Ok mkuu.
 
Kwa Nini hizi mechi huwa zinachezwa usiku ili hali zile za Zanzibar zinachezwa jioni ya kawaida!?
Anyway itakuwa mechi ngumu itakayoamuliwa na "makosa ya kibinadam"
Naona Pacome kafunga goli la makosa ya kibinadamu!!
Hiyo akili uko nayo usiitupe hadi mwisho wa ligi maana ndio mtaji wa Yanga!!
 
Ila tuweke utani pembeni, hawa Singida Black Stars ni Uruguay kabisa, wanacheza rafu mbaya kabisa mwanzo mwisho ikiwa kama staili yao ya mpira, ligi ikifika mwisho kuna wachezaji watakula mishahara ya bure kuuguza majeraha. Yanga walijitahidi kupambana nao na kulazimika kurudishia viatu walivyopigwa ikawa si boli tena bali ni fujo tupu.

Ni vizuri TFF waingilie kati , huu wanaocheza SBlack S si mpira ni judo na kung fu za kulazimisha ushindi kwa mfano wa tozo za miamala kama hutaki kulipa hamia Burundi!!
 
Kwa kweli refa game ilimshinda kabisa kuna wakati Azam nao walikuwa wanavheza rafu sanaaaa........marefa wawe makini......red card 2 watatulia.....
 
Sasa nyinyi mna ugumu gani! Mechi nne mfululizo mnafungwa!! Hawa Singida Black Stars kuanzia leo ndiyo washindani wetu wa kweli. Ila siyo nyinyi Visingizio Fc.
Kwa kulaza wachezaji wenu makaburini na kuruka ukuta kuingia uwanjani haitoshi kujuwa kwamba simba ndy timu inayokusumbuwa?
 
Yanga amalize hii round na total dominance ili akija round ya pili iwe ni kufagia tu sema Jana kibabage kapiga kazi sana ila Singida wanapiga rough usipokuwa makini nusu ya team inaumia
 
Kila la heri kwa Wananchi Young Africans. 💛💚💪

Ingawa natambua fika wachezaji wengi kwa sasa mna fatique! Ila hakuna namna. Ushindi ni muhimu.
Mkuu wewe angalau umenifungua macho sasa, maana naitazama yanga mwenendo wao binafsi naona kama hawanifurahis na wananipa was was huko Caf itakuaje maana live kabisa unaona kuna vitu vimepungua sana, focus imepungua, aggresivenes imepungua, seriousness bado ipo ila imekosa malengo flan. Nikawa najiuliza hapa kuna nini??
Hii point yako surely makes sense. Watafute suluhisho la haraka sasa vinginevyo tutaumia mbele ya safari maana kazi haipungui ila mzigo ndio unazidi ku pile up.
 
Back
Top Bottom