joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Ww huna timu yani hauna. Hawa Singida wazuri kuliko ww.Usiwe na haraka mkuu wakati wa kukandwa utafika na utakandwa baraabara non stop.
Mkianza kubamizwa itakuwa mfululizo mno mkuu. Ni suala la muda. Itakuwa ni pigwahukupigwakule FcWw huna timu yani hauna. Hawa Singida wazuri kuliko ww.
Sasa nyinyi mna ugumu gani! Mechi nne mfululizo mnafungwa!! Hawa Singida Black Stars kuanzia leo ndiyo washindani wetu wa kweli. Ila siyo nyinyi Visingizio Fc.Sasa msipromoti hyo mechi ionekane ina ushidani kumbe maelekezo tayari.
Inchi hii mechi ngumu kwenu ni moja tu.
Simba VS nyuma mwiko fc.mechi zingine zote bahasha na maagizo toka juu.
Bado hujamfahamu Babu kaju vizuri sure boy ni 6 ya kisasa kabisa siku akipawasha pale kati utatamani mpira usiishe sioni mchezaji wa kumuweka sure boy nje istoshe abuya sita haiweziBora acheze Abuya au Mkude nafasi ya Aucho kuliko Sure boy
Mtani atakuja tu kusema nini anajivunia naona anashinda kwa shidaaaaaShida nn..? C ana kosi pana? Amweke Max
Wewe ndio ujiandae kupamizwa mfululizo maana,ukikutana na timu ina nidhamu nzuri ya ulinzi na fitness nzuri, utaishia kupigwa au droo ndio maana Coastal walikupa tabu na walikuwa wanakupiga,Yanga ndio kabisa ulicheza dk 30 baada ukapotea,mkaanza kivuta watu mashati. Viongozi wenu lawama wamempa Kayoko na Camara,ili kuficha maboko yao ya usajili.Mkianza kubamizwa itakuwa mfululizo mno mkuu. Ni suala la muda. Itakuwa ni pigwahukupigwakule Fc
Tulia ni kimoja cha mbuzi mpaka kileleni wewe mwenyewe hapo ni jamvi na wageni kila mtu anakaa tulia, maumivu yakizidi muone daktariWananchi MEMKWA wenu Hapa kilichotokea ,
Ni Mbuzi wa Bwana Kheri alikuwa anakula majani ndani ya Shamba la Bwana Heri. Ndio maana hamkuona reaction yoyote baada ya Kuzawadiwa goli la Pacome..
Ila kwa hawa MEMKWA...Kazi mnayo Mwaka huu...!
Halafu Mumshauri Aucho, Kwa Umri wake na Vile Alivyosuka Nywele hakuwa poa kbs,
Mkumbusheni Umri wake keshakuwa Mtu Mzima Sasa.!
Huyu kiafrika ni Mzee wa Kuongoza msafara Wa Kupeleka Mahari sehemu kbs.!
Unazungumzia Sure boy wa zamani sio huyu wa sasa, mechi ngumu hawezi huyo. Kwani mechi ambayo Yanga anapoteza goli 2-1 dhidi ya Azam unajua ni nani alichukua nafasi ya Aucho kama sio huyo huyo Sure boy? Gamondi sio mjinga kwenye mechi dhidi ya Mamelodi kumpanga Mkude. Mpira ni mchezo wa wazi, Sure boy uchezaji wake unaonekana na mapungufu yake yanaonekana wazi kabisa, hawezi mechi ngumu.Bado hujamfahamu Babu kaju vizuri sure boy ni 6 ya kisasa kabisa siku akipawasha pale kati utatamani mpira usiishe sioni mchezaji wa kumuweka sure boy nje istoshe abuya sita haiwezi
Ni suala la muda, Sina wasiwasi na Simba sababu najua inaenda ikiongezeka ubora na tunajua January itazidi kuwa bora.Wewe ndio ujiandae kupamizwa mfululizo maana,ukikutana na timu ina nidhamu nzuri ya ulinzi na fitness nzuri, utaishia kupigwa au droo ndio maana Coastal walikupa tabu na walikuwa wanakupiga,Yanga ndio kabisa ulicheza dk 30 baada ukapotea.
We hujui mpira tuliza komwe hiloNi suala la muda, Sina wasiwasi na Simba sababu najua inaenda ikiongezeka ubora na tunajua January itazidi kuwa bora.
Kwa Yanga hii nakiri ipo kwenye peak ya ubora ila hizi timu zetu tunazijua zikishakaa kwenye peak misimu mitatu minne mfululizo, kifuatacho ni kipigo cha mwizi.
Wewe mahaba ni kedekede.We hujui mpira tuliza komwe hilo
Hii sasa yanga ya mwaka huu ni bora sana sana ubigwa kwao ni kugusa tu.Hawa Yanga tusipoangalia wanaweza kuokota ubingwa tena kimzaha mzaha. Kila timu akikutana naye inakula chuma japokuwa ushindi mwembamba.
Sasa ulitaka walegeze 🤣🤣🤣Singida BS wapuuzi sana,sasa kulikuwa kuna haja gani ya kujifanya wanakaza!