samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
mimiNani naye yupo Amaan Stadium nimsabahi..?
Refa akiwa KayokoKipimo cha ubora wa timu katika ligi yetu kinapimwa na Young Africans.
Sasahivi anakula yellowMzee Aucho anaLaLamika ...
Shida nn..? C ana kosi pana? Amweke MaxGamondi kawaka mamamaeeeeee ππππππππππππ
Wamepewa njanoMambo gani haya? Makocha wanakaribia kula umeme, dah!
Max hayupo πππππShida nn..? C ana kosi pana? Amweke Max
Kwakweli hawa wanaleta maigizo kipindi cha kwanzaNdugu ni ndugu wakigombana chukua jembe.
Makocha Wana mihemkoMambo gani haya? Makocha wanakaribia kula umeme, dah!
Aisee natamani ningekuwepo ππππNani naye yupo Amaan Stadium nimsabahi..?