Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Nini tena kimetokea mkuu?Mpira Wa Afrika ni wa Kis*nge Sana
Elezea mbeleko kiajembereko
Napingana na wewe. Usiongozwe na mihemko, elezea kimpira.Tuseme ukweli tu.
Kwa hili la leo Simba tumebebwa wazi wazi, Refa alisimama na sisi kwa 100%.
Tumewadhulumu Singida wazi wazi.
Mpira ulikuwa umetokaHata kona yenyewe ni kama ya mchongo flani
Mpira dk tisini wewe unataka utumie ujanja ucheze dk sitini!!!kupoteza muda hairuhusiwi
ama ndo wanasema ukipoteza muda refa apitilize hadi dakika za nyongeza
Soka letu kivyetuvyetu.Imekuaje?
Ni goli la offside?
Dakika za nyongeza sio ishu.Naamini refa alikuwa anajua nyongeza dk 8