FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

Kwenye mikwaju ya penati ni ngumu Singida kufanya vizuri kwasababu wachezaji wote wa Singida wameshatoka mchezoni wamepaniki kupita maelezo.
 
Nadhani waandaji walitaka Simba au Yanga watinge fainali ili kuongeza mvuto na hamasa.

Kiukweli haijakaa poa.
 
Kufungwa afungwe singida.. lawama atoe UTOPOLO.. si mwanzo wa kufanywa kinyume na maumbile? Mechi si yako umeivalia jezi.
 
20240110_222043.jpg
 
Back
Top Bottom