kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
unamuheshimu zaidi refaKweli niameamini mpira unamuheshimu fundi
Na ukatili huo ni pale unapoona asiyefungwa ndio anaumia zaidiHahahaha mpira una matokeo katili sana
Ulimuona salim alitoka kabla ya medi kupiga penalt ? Uchawi upo aiseeNi nini Kimemtokea Kagere...?
Anajua Peke yake..!
hili swali na Mimi Ndo nilitaka kuuliza vipi kama Singida wangeongeza Goal la Pili Bado tungesema Hvyo?Kwani hizo zilizoongezeka zilikuwa zinatumiwa na timu moja pekee?
PoleDaah ili mechi kama movie ni ya kihindi, Asante Kagere duuuuuuu....... na kona yenu ya mchongo daaaaaahhh
Mandunduka ni Mashirikina sanaSasa Kagere anacheza nini hiki