FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

Simba leo tumeshinda lakini haijakaa vizuri, jana Mlandege naye kashinda kwa namna kama hii.

Fainali ya Mapinduzi imekaa kimchongo fulani hivi. Naona waandaji baada ya kuona Yanga wametolewa wakaona isiwe shida, ngoja basi hata Simba atinge fainali ili kuongeza hamasa.
 
Kivipi?! Elezea kimpira.
 
Unaacha na bado unaangalia mechi zinazofuata,hata ukiacha kuangalia haisadii chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnatuchanganya nyie Uto....

Ebu mmoja wenu aseme.....ni nini shida?

Kagere Kauzaaa? Au Dk zilizidi ? Au Kona ndo Shida.

Kama shida ni Kagere... basi akaulizwe nini Kilimsibu.
Kama shida ni Dk.... Zile Dk zilikuwa wazi kwa timu zote. SFG hawakupigwa marufuku kufunga Dk za nyongeza.
Kama Kona ndo shida... golikipa alitakiwa auache mpira Utoke wenyewe. Sasa kaudaka ukamshinda Katoka nao..!

Refa aachwe kbs...!

Afu Watu wanajisahaulisha umahiri Wa Ally Salim Katoro...
 
Tatizo la hii mechi si dk kwakua dk zimeongezwa kwa timu zote mbili yoyote angeweza kufungwa.
Shida ni refa kulazimisha Kona ambayo haikuwepo kwakua Saidoo ndiye aliye utoa nje.
Mi nafikiri kama yupo muandaaji atumie hii Fursa kwa kuwashawishi APR na Singida wacheze mechi pale Chamazi kwakua hii ndio Ilitakiwa iwe fainali kama marefa wasinge fanya upuuzi.
Naamimi iyo mechi itaujaza uwanja wa Chamazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…