SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Saido akishika mpira mara 30, lazima aanguke mara 28.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 sahihi sana, GSM anawazoom kwa mbaliMwiguli 1 vs Mo-0
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee tulizana mpira bado haujaishaa, khaaahbado hujasema [emoji23][emoji23]
Simbha.... guvu moya
Huyo kocha hana wachezaji, ipo siku atazira katikati ya mechi, amuachie Mangugu li timu lakeBenchika haelewi wasipokuwa makini atapata convulsion, timu lenyewe limeshajichokea kupeana lawama tu
Ukijibiwa nitag huku wenye umeme wao wamechukua na livescore hakuna yenye update ya hii game.Mpira unaisha saa ngapi?
Guvu moya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee tulizana mpira bado haujaishaa, khaaah
Mmmh sidhanii, sioni ari ya kutafuta ushinfilTutashangilia ushindi punde si punde
Magari ya Mkaa, trip 1 mzigo halafu mwezi mzima gerejiyani uwezo wa onana = saido = kenedy = baleke = Zero , hawa wachezaji kuendelea kucheza simba inafikirisha sana.
Kumsajili huyu ..... ushauri tumepewa na RonaldoHiki kiungo Sarr ndo atakayekuja kutegemewa kama DM au kuna mwingine anakuja? [emoji1]
Afu anaboa balaa, yaan anakeraaa mnoooSaido akishika mpira mara 30, lazima aanguke mara 28.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Guvu moya
MwasibuMechi ikaisha tunaomba utupe Takwimu za kihasibu itasaidia sana ..