FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

Timu inacheza slow sana! Hata wakifika golini unaona hawajui wafanye nini? Wanakimbizwa muda wote.
Ukiona Simba imepata goli ujue limepatikana kimazabe tu bila mipango, hivi viongozi hawaoni Saidoo,Onana Bareke Phiri kuwa wamechoka!
 
TUJIKUMBUSHE Dk ni 55

Updates

Kolo 0 .......1 singida el de wananchi

Slogan ... hatumtaki benchika na mangungu

Simba [emoji250] [emoji250] [emoji250]. Guvu moya
 
GOOOOOOOOOLLL.....BALEEKEEEE

Simba wanapata goal hapa Kwa uzembevwa kipa[emoji32][emoji32][emoji3063][emoji3063]

Natania bana [emoji23][emoji23][emoji23]

Taabu ipo pale pale
 
Timu inacheza slow sana! Hata wakifika golini unaona hawajui wafanye nini? Wanakimbizwa muda wote.
Ukiona Simba imepata goli ujue limepatikana kimazabe tu bila mipango, hivi viongozi hawaoni Saidoo,Onana Bareke Phiri kuwa wamechoka!
Tupo slow.
 
Back
Top Bottom