FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

TUJIKUMBUSHE

Updates

Kolo 0 .......1 singida el de wananchi

Slogan ... hatumtaki benchika na mangungu

Simba [emoji250] [emoji250] [emoji250]. Guvu moya
 
Ila wachezaji wa Simba wanacheza kistar sana. Sjui wakiumia hawatibiwi wanatelekezwa?
 
Chama anaitizama hii mechi halafu anacheka kwanj anajua hakuna wa kumuweka benchi.
 
GOOOOOOOOOLLL.....BALEEKEEEE

Simba wanapata goal hapa Kwa uzembevwa kipa[emoji32][emoji32][emoji3063][emoji3063]











Natania bana [emoji23][emoji23][emoji23]

Taabu ipo pale pale
Utauwa watu kwa pressure, bro. ohohooooh
 
Tuna Viungo wachezeshaji dhaifu kidogo.

Aucho anakuja kuziba pengo
 
Back
Top Bottom