Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukuona muda waliopoteza? Dk 6 za kucheza sio kulalaNdiyo maana APR wamesema hawaji tena. Zimeongezwa dk 6, goli linafungwa dak 98 na kitu
hata epl haya yapo tuliaaMpira Wa Afrika ni wa Kis*nge Sana
refa kafanya kama wenzie wanavyo fanyagaNimeondoka dakika y 75 luku iliisha ebu niambieni kilicho jiri?
Kwenda zako huko.Nimeondoka dakika y 75 luku iliisha ebu niambieni kilicho jiri?
mambo ya aibu sana hayaNdiyo maana APR wamesema hawaji tena. Zimeongezwa dk 6, goli linafungwa dak 98 na kitu
Hatuna timu mkuu! Hakuna project ya maana inayoonekana! Ni kubahatisha tuUmeandika kwa Uchungu sana mkuu!!
Ndio mpira huo.Ndiyo maana APR wamesema hawaji tena. Zimeongezwa dk 6, goli linafungwa dak 98 na kitu
Situation ya matakwo yako?
Hapo ulipo hakuwezi kuwa na mpira nenda pemba kule upoManina hakuna mpira kabisa hapa
Kwa hiyoNdiyo maana APR wamesema hawaji tena. Zimeongezwa dk 6, goli linafungwa dak 98 na kitu
Khee... yamekuwa hayo..?Singida shikilia hapohapoooo kwenye mshonoo😂😂😂
Simba wanacheza 12 ukimjumlisha na refaa
Mambo mengine ni aibu kuhadithia. Huwezi kuwa na furaha Kwa uhuni huu.Benchika amesawazisha lkn hana furaha [emoji16][emoji16]